Fiakri (Ireland, 600 hivi – Saint-Fiacre, Seine-et-Marne, Ufaransa, 18 Agosti 670) alikuwa mmonaki padri maarufu nchini Ireland aliyehamia Ufaransa mwaka 628 aishi kama mkaapweke[1].

Mt. Fiakri katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa Notre-Dame, Bar-le-Duc, Ufaransa, karne ya 19.

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Patrick Duffy, "Aug 30 – St Fiacre (7th century) patron of gardeners and taxi-drivers" (30 August 2012), in [1].
  2. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  • Ní Mheara, Roísín (2001). Early Irish Saints in Europe: Their Sites and Their Stories, Seanchas Ardmhacha: Journal of the Armagh Diocesan Historical Society, ISBN 9780951149034.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.