Filani wa Pittenweem

Filani wa Pittenweem, O.S.B. (jina asili Fillan, Phillan, Fáelán au Faolan; aliishi karne ya 13 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka kisiwa cha May, Uskoti, maarufu kwa ugumu wa maisha yake, aliyoyaishi upwekeni[1].

Filani alihama monasteri ya huko akaenda Pittenweem huko Fife akaongoa wakazi wake kuingia Ukristo.[2][3]

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Januari[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.