Roza Filipina Duchesne, R.S.C.J. (29 Agosti 176918 Novemba 1852) alikuwa mtawa wa Ufaransa, kati ya wale wa kwanza katika shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu[1] ambalo alilianzisha nchini Marekani[2].

Mt. Roza Filipina.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Mei 1940, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Julai 1988.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Catherine M. Mooney, Philippine Duchesne: A Woman with the Poor (NY: Paulist Press, 1999; rpt. Wipf & Stock, 2007)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.