Magdalena Sofia Barat

Magdalena Sofia Barat, R.S.C.J. (Joigny, Burgundy, 12 Desemba 1779Paris, 25 Mei 1865) alikuwa mtawa wa Ufaransa, mwanzilishi wa shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu[1][2].

Sanamu ya Mt. Sofia Barat katika Basilika la Mt. Petro, Vatikani.

Katika kuliongoza kwa miaka 65 masista walifikia idadi ya 3,500, wakilea wasichana huko Ulaya, Afrika na Amerika.[3]

Papa Pius X alimtangaza mwenye heri tarehe 24 Mei 1908, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 24 Mei 1925.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.