Filipo na watoto kumi (walifariki Aleksandria, Misri, mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. [1].

Pengine wanatajwa pamoja nao Narseo na Zeno.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Julai[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.