Filipo II wa Hispania
Filipo II wa Hispania (kwa Kihispania Felipe II (el Prudente) (yaani Mwenye busara); 21 Mei 1527 – 13 Septemba 1598), alikuwa mfalme wa Hispania (1556–1598), Ureno (1581–1598), Napoli na Sicily (kuanzia 1554), na mume wa malkia Maria I wa Uingereza (1554–1558).[1] Alikuwa pia mtawala wa Milano[2] na kuanzia mwaka 1555 wa wilaya kumi na saba za Netherlands.
Dola lake lilienea katika mabara yote yaliyojulikana na Wazungu, na mpaka leo nchi ya Ufilipino inaitwa kwa jina lake (Visiwa vya Filipo). Chini yake, Hispania ilifikia kilele cha ustawi wake.
Tanbihi
hariri- ↑ Geoffrey Parker. The Grand Strategy of Philip II, (2000)
- ↑ Garret Mattingly. The Armada p. 22, p. 66 ISBN 0-395-08366-4
Vyanzo na marejeo
hariri- Henry Kamen, Philip of Spain (New Haven, Yale University Press, 1999) – the standard modern biographical source.
- Glyn Redworth, "Philip (1527–1598)", Oxford Dictionary of National Biography, online edition, May 2011 Retrieved 25 Aug 2011
- Pettegree, Andrew (2002). Europe in the Sixteenth Century. Oxford: Blackwell. ISBN 0-631-20704-X..
- Benton Rain Patterson, With the Heart of a King: Elizabeth I of England, Philip II of Spain & the Fight for a Nation's Soul & Crown (2007)
- Rodriguez-Salgado, M.J. "The Court of Philip II of Spain". In Princes Patronage and the Nobility: The Court at the Beginning of the Modern Age, cc. 1450–1650. Edited by Ronald G. Asch and Adolf M. Birke. New York: Oxford University Press, 1991. ISBN 0-19-920502-7.
- Geoffrey Parker, Imprudent King: A New Life of Philip II (2014).
- Geoffrey Parker, The Grand Strategy of Philip II (New Haven, 1998).
- Markus Reinbold, Jenseits der Konfession. Die frühe Frankreichpolitik Philipps II. von Spanien 1559–1571 (Stuttgart, Thorbecke, 2005) (Beihefte der Francia, 61).
- Harry Kelsey, Philip of Spain, King of England: the forgotten sovereign (London, I.B. Tauris, 2011).
Viungo vya nje
haririWikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- The Grand Strategy of Philip II" Archived 10 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Letters of Philip II, King of Spain 1592–1597
- Philip II of Spain (King of England)
- "Philip II". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- Philip II Letter, 1578 Dec. 2. From the Collections at the Library of Congress
- King Philip II Grant of Arms, 1566 Nov. 25. From the Collections at the Library of Congress
- Letters of Philip II, King of Spain, 1592–1597 at L. Tom Perry Special Collections, Brigham Young University
- Paul IV letter to Philip II, MSS 8489 at L. Tom Perry Special Collections, Brigham Young University
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Filipo II wa Hispania kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |