Finano wa Lindisfarne

(Elekezwa kutoka Finano)

Finano wa Lindisfarne (alifariki Februari 661) alikuwa mmonaki kutoka Ireland huko monasteri ya Iona, Uskoti, halafu askofu wa pili wa Lindisfarne, Uingereza, kuanzia mwaka 651 hadi kifo chake.

Alikuwa maarufu kwa ujuzi wake na kwa juhudi za uinjilishaji, kama tunavyosoma hasa katika maandishi ya Beda Mheshimiwa.

Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 17 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Fryde, E. B.; Greenway, D. E.; Porter, S.; Roy, I. (1996). Handbook of British Chronology (toleo la Third revised). Cambridge, UK: Cambridge University Press. ISBN 0-521-56350-X. 
  • Kirby, D. P. (2000). The Earliest English Kings. New York: Routledge. ISBN 0-415-24211-8. 
  • Walsh, Michael A New Dictionary of Saints: East and West London: Burns & Oats 2007 ISBN|0-86012-438-X

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.