Fiorensi na Dioklesyani

Fiorensi na Dioklesyani (walifia dini Osimo, leo nchini Italia, 11 Mei 304) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma wakati wa kaisari Diokletian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/53410
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.