Firmina wa Amelia (alifariki Amelia, Umbria, Italia, 304) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Roma ya Kale aliyeuawa katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1][2].

Sanamu yake katika kanisa kuu la Civitavecchia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.