Florensi wa Cahors

Florensi wa Cahors (karne ya 4 - 406 hivi) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo, leo nchini Ufaransa[1].

Paulino wa Nola alimsifu kama mtu mnyenyekevu wa moyo, mwenye nguvu ya neema na upole katika kusema [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Julai[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Chronologie des évêques de Cahors selon les archives diocésaines". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-21. Iliwekwa mnamo 2023-10-20.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/60630
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.