Paulino wa Nola
Paulino wa Nola (jina kamili kwa Kilatini: Pontius Meropius Anicius Paulinus; Bordeaux, leo nchini Ufaransa, takriban 355 – Nola, karibu na Napoli, Italia, 22 Juni 431) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki huko Nola.
Tangu kale ametambuliwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu.
Maisha
haririPaulino wa Nola alikuwa mwanasiasa maarufu tena tajiri, akaoa na kupata mtoto wa kiume.
Lakini alitamani kuishi maisha maadilifu, na hivi akabatizwa, akaachana na mali yake yote, akaanza kuishi kimonaki huko Nola, leo katika mkoa wa Campania nchini Italia, kuanzia mwaka wa 393.
Aliteuliwa kuwa askofu wa Nola, ambako alikuza sana heshima kwa Felisi wa Nola, na kuwasaidia waliokwenda huko kuhiji.
Vilevile alijitahidi kupunguza taabu za watu wa wakati huo.
Aliandikiana barua na watu wengi maarufu, kama vile Agostino wa Hippo, akatunga mashairi kadhaa yenye ufasaha wa hali ya juu sana[2].
Tazama pia
haririMaandishi
hariri- Ausonius, & Paulinus of Nola, Ausone et Paulin de Nole correspondance, tr. D. Amherdt (2004) [Latin text; French tr.]
- Paulinus of Nola, Sancti Pontii Meropii Paulini Nolani Opera, ed. G. de Hartel (2nd. ed. cur. M. Kamptner, 2 vols., 1999) [v.1. Epistulae; v.2. Carmina. Latin texts]
- Paulinus of Nola, Paolino di Nola I Carmi ..., ed. A. Ruggiero (1996)
- Paulinus of Nola, Paolino di Nola Le Lettere. Testo latino con introduzione, traduzione italiana ..., ed. G. Santaniello (2 vols., 1992)
- Paulinus of Nola, The Poems of Paulinus of Nola translated ... by P. G. Walsh (1975)
- Paulinus of Nola, Letters of St Paulinus of Nola translated ... by P. G. Walsh (2 vols., 1966-7)
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- C. Conybeare, Paulinus Noster Self and Symbols in the Letters of Paulinus of Nola (2000)
- Trout, Dennis E (1999). Paulinus of Nola - Life, Letters, and Poems. Berkeley: University of California Press. ISBN 978-0-520-21709-6.
- Gardner, Edmund G. (editor) (1911. Reprinted 2010). The Dialogues of Saint Gregory the Great. Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 978-1-889758-94-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-07. Iliwekwa mnamo 2012-05-23.
{{cite book}}
:|first=
has generic name (help); Check date values in:|year=
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) -- Chapter III of the Dialogues contains a long anecdote about Paulinus. - J. Morelli, De S. Paulini Nolani Doctrina Christologica (Theology Doctorate dissertation, Pontificia Facultas Theologica Neapolitana apud Majus Seminarium, ex Typographica Officina Forense, Neapoli, MCMXLV)
- J. T. Lienhard, "Paulinus of Nola and Early Western Monasticism, with a study of the Chronology of His Work and an Annotated Bibliography," 1879-1976 (Theophaneia 28) (Köln-Bonn 1977), pp. 192–204;
- C. Magazzù, 'Dieci anni di studi su Paolino di Nola' (1977–1987), in Bollettino di studi latini 18 (1988), pp. 84–103;
- C. Iannicelli, 'Rassegna di studi paoliniani' (1980–1997), in Impegno e Dialogo 11 (1994–1996) [pubblic.1997], pp. 279–321 Rassegna Iannicelli
Viungo vya nje
hariri- Sons of San Paolino Ilihifadhiwa 11 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- East Harlem Giglio Society Ilihifadhiwa 10 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- Hotuba ya Papa Benedikto XVI juu ya Paulinus
- Giglio USA Ilihifadhiwa 3 Aprili 2005 kwenye Wayback Machine.
- (Kiitalia) San Paolino de Nola
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |