Fromundi (pia: Fromond, Frodomond; alifariki karne ya 7) alikuwa askofu wa Coutances, Ufaransa, aliyeanzisha monasteri ya kike huko Le Ham[1][2][3] na kuongoza jimbo lake kama mchungaji kwa upendo wa Bwana [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu[1] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 Mathon, Bibliotheca Sanctorum, vol. 5, coll. 1285-1286.
  2. (Kifaransa) Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, p. 240.
  3. (Kifaransa) Aubert, Dictionnaire d'Histoire et de Géographie ecclésiastiques, Tome XIX, col. 176.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74980
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.