Futari
Futari (kutoka neno la Kiarabu iftar) ni chakula maalum ambacho huliwa katika mwezi wa Ramadhani wakati wa jioni baada ya kufunga.
Ndiyo chakula cha pili cha siku; kufunga kwa kila siku wakati wa Ramadan huanza mara moja baada ya chakula cha asubuhi ya Suhur, ukamalizika wakati wa jioni na ndipo futari huliwa.
Maelezo
haririFutari ni mojawapo ya chakula cha kidini ambacho huliwa wakati wa Ramadani na mara nyingi hufanyika na jamii, yaani watu wanakusanyika ili kufuturu pamoja. Futari inachukuliwa tu kabla ya Maghrib, yaani machweo. Waislamu wengi wanaamini kuwa kulisha mtu kamatar kama namna ya sadaka na yenye manufaa sana na kwamba hayo yalifanywa hata na Mtume Muhammad.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
hariri- Guide to Dubais 2018 Ramadan Iftars
- What are iftar and suhoor during Ramadan?
- iftar Sahur Vakitleri ve Ramazan imsakiyesi
- Ramadan 2017 Prayer Timings Ilihifadhiwa 9 Juni 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |