Gabrieli II wa Aleksandria

Gabrieli II wa Aleksandria (alifariki 5 Aprili 1145) kuanzia mwaka 1131 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 70 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabrieli II wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.