Gaetano Catanoso (Chorio di San Lorenzo, Reggio Calabria, Italia, 14 Februari 1879 – Reggio Calabria, 4 Aprili 1963) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha shirika la Masista Maveronika wa Uso Mtakatifu kwa ajili ya kuhudumia fukara na waliotengwa na jamii [1].

Picha yake halisi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Mei 1997 halafu Papa Benedikto XVI alimtangazamtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Saint Gaetano Catanoso". Saints SQPN. 13 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.