Gaudensi wa Ossero

Gaudensi wa Ossero, O.S.B.Cam. (kwa Kilatini: Gaudentius Auxerensis; kwa Kiitalia: Gaudenzio di Ossero) alikuwa askofu wa Ossero, katika kisiwa cha Lošinj (leo nchini Croatia) tangu mwaka 1030, huku akipingwa na kusingiziwa hadi 1042, alipojiuzulu na kujiunga na Wabenedikto Wakamaldoli chini ya Peter Damian.

Alifariki Ancona tarehe 31 Mei 1044.

Tangu kale huheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri