Geronsi wa Milano (alifariki Milano, Italia Kaskazini, 465) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 462[1][2].

Mt. Geronsi wa Milano.

Aliendeleza juhudi za mtangulizi wake, Eusebi wa Milano[3], kwa kujenga upya Milano baada ya maangamizi yaliyofanywa na Wahunni wa Attila na kusaidia walioathirika na hali hiyo[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[5][6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Catalogus Archiepiscoporum Mediolanensium Archived 2017-04-10 at the Wayback Machine, Monumenta Germaniae Historica, Scriptores, vol. VIII, Hannover 1848, p. 103.
  2. Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, Leipzig 1931, pp. 795.
  3. Pietri, Prosopographie de l'Italie chrétienne, I, p. 704.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51940
  5. Martyrologium Romanum
  6. [1]

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.