Ginette Daleu

mpaka rangi wa cameroon

Ginette Daleu (23 Septemba 1977 - 9 Novemba 2018) alikuwa msanii kutoka Cameroon.

Ginette Daleu

Amezaliwa 23 Septemba 1977
Cameroon
Amekufa 19 Novemba 2018
Nchi Cameroon
Kazi yake Msanii

Biografia hariri

Ginette Flore Daleu alizaliwa mwaka 1977 eneo la Metet, Cameroon.[1] Alikuwa na shahada kutoka taasisi ya Formation Artistique ndani ya Mbalmayo[2] na alihitimu mwaka 2000. pia alihudhuria huria ya wasomi ya Belle Arti iliyopo Brescia ndani ya Italia.[3] Daleu alikuza Sanaa yake akiwa na umri mdogo akiwa na utambuzi wa kuwa anataka kuja kua msanii, dhidi ya matakwa ya familia yake.[4]

Daleu alifia nyumbani kwake Senegali tarehe 9 Novemba 2018, akiwa mgonjwa.[5]

Kazi hariri

Mnamo mwaka 2006 Daleu alikua miongoni mwa wasanii waliokuwa wakisafiri tokea Douala kuelekea Dakar Biennale,Dak'art, kuchunguza namna ya kuimarisha elimu ya Sanaa Cameroon.[6] Mradi huu ulipatiwa jina Exit Tour na kikundi hicho kilisafiri visiwani, kukutana na kufanya kazi na wasanii na wanafunzi.[7] Safari hii haikua na matumizi katika ArtBakery, shirika la kuhimiza na kuhamasisha wasanii Cameroon.[6] kufanya kazi ndani ya na jamii ilikua sehemu muhimu ya utendaji kazi wa Daleu.[8]

Kwani kujihusisha kwa Daleu na Art Bakery ilibadilisha utendaji wake kutoka Sanaa ya mapambo au upambaji kwenda kwenye uchunguzi wa masomo yenye sehemu ambazo hazijakamilika kama Bessengué City.[9] Mda mwingine kazi zake zilitolewa moja kwa moja kutoka kwenye uchunguzi alio kua akifanya.[10] hii ilepelekea kolagi na picha zake kua salama katika utendaji wa kazi wa Daleu.[9] Makazi katika Rijksakademie van beeldende ndani ya Amsterdam kazi iliyozalishwa kwa majaribio ya "kubandua ngozi za vitu".[11] Kazi zake zilionyeshwa Ujerumani,[12] Uswizi[13] na Italia.[14]

Benki ya dunia ilidhamini maonyesho ya kazi za wasanii wa Camerooni katika mwaka 2014, na Daleu alikua miongoni ya watu waliojumuishwa.[4] alizalisha mfululizo wa filamu zilizo pewa majina'Architextures et Les introuvables'.[4]

Katika mwaka 2018 Daleu alikua miongoni mwa wasanii waliotumwa na Videoart at Midnight katika tamasha la Sanaa ya video Berlin.[15] Msanii aitwaye Majewski alishirikiana na Daleu kwenye kazi mpya iliyoitwa Le Trône, ambapo video na michoro ilichunguza na kuonyesha urthi wa ukoloni wa kijerumani ndani ya Cameroon.[16] pia alionyeshwa katika Dak'art mwaka [2018].[17]

Picha hariri

Mareje hariri

  1. "Ginette Daleu". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-27. Iliwekwa mnamo 2021-03-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. Schemmel, Annette (2015). Visual arts in Cameroon : a genealogy of non-formal training, 1976-2014. Mankon, Cameroon: Langaa Research & Publishing CIG. uk. 221. ISBN 978-9956-763-99-3. OCLC 950196045. 
  3. Tchidjé, David (2018-11-10). "Une âme artistique reste alors que s'en va GINETTE FLORE DALEU.". FRAD'ART (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  4. 4.0 4.1 4.2 Cameroun, une vision - World Bank Group. 2014. uk. 18. 
  5. Tchidjé, David (2018-11-10). "Une âme artistique reste alors que s'en va GINETTE FLORE DALEU.". FRAD'ART (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  6. 6.0 6.1 "An Epic Art Journey through West Africa | Contemporary And". www.contemporaryand.com (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  7. "Daleu Ginette, visual artist". www.artmovesafrica.org (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  8. Forni, Silvia; Malaquais, Dominique (2018-09-02). "Village Matters, City Works: Ideas, Technologies, and Dialogues in the Work of HervÉ Youmbi". Critical Interventions 12 (3): 294–305. ISSN 1930-1944. doi:10.1080/19301944.2018.1532380. 
  9. 9.0 9.1 Schemmel, Annette (2015). Visual arts in Cameroon : a genealogy of non-formal training, 1976-2014. Mankon, Cameroon: Langaa Research & Publishing CIG. uk. 238. ISBN 978-9956-763-99-3. OCLC 950196045. 
  10. "Ginette Daleu". urbanscénos (kwa fr-FR). 2014-05-05. Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  11. "Ginettehome". adude.free.fr. Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  12. "Afrikanische Kunst Ginette Daleu (Malerin) | Fachprogramme für Klassenfahrten" (kwa de-DE). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  13. "Making Douala". 
  14. exibart_admin. "Ginette Flore Daleu - Bessengue: la materia racconta". exibart.com (kwa it-IT). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  15. "Ginette Daleu". kunstaspekte.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  16. "Le Trône (The Throne), 2019". Antje Majewski (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  17. "Le plasticien camerounais Abdias Ngateu nous ouvre son univers". Blasting News (kwa Kifaransa). 2018-05-15. Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ginette Daleu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.