Gobati
Gobati, C.R.S.A. (kwa Kifaransa: Gaubert au Gausbert; Thiers, Ufaransa, karne ya 11 - Laussac, Ufaransa, 27 Mei 1079) alikuwa padri mkaapweke aliyeanzisha kanisa, nyumba ya kupokea wageni na hatimaye monasteri ya Wakanoni Waaugustino huko Montsalvy[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |