Godfredo wa Cappenberg

Godfredo wa Cappenberg (Cappenberg, 1096/1097Ilbenstadt, 13 Januari 1127) alikuwa mtemi nchini Ujerumani ambaye, baada ya kuguswa na mahubiri ya Norbert wa Xanten alianzisha monasteri katika ngome yake huko Ilbenstadt, dhidi ya shauri la masharifu, naye mwenyewe hatimaye akawa kanoni wa shirika la Premontree na kushughulikia sana wahitaji na wagonjwa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1728.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • (Kijerumani) Friedrich Wilhelm Bautz, Gottfried von Cappenberg, Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL), Band 2, Hamm 1990, Sp. 272-273
  • (Kijerumani) Wilhelm Crecelius, Gottfried von Cappenberg, Allgemeine Deutsche Biographie (ADB), Band 15, Duncker & Humblot, Leipzig 1882, S106 f.
  • (Kijerumani) Norbert Bewerunge, Christian Vogel: Der Heilige Gottfried und seine Verehrung in Ilbenstadt vom Hohen Mittelalter bis heute., Niddatal-Ilbenstadt, 2009 ISBN 978-3-9809805-4-8
  • (Kijerumani) Caspar Geisberg, Das Leben des Grafen Godfried von Kappenberg und seine Klosterstiftung in Verein für Geschichte und Altertumskunde Westfalens (Hsg), Zeitschrift für vaterländische Geschichte und Altertumskunde (Westfalen), Bd. 12, Regensberg, Münster, 1851, S. 309–374,
  • (Kijerumani) Philipp Jaffé (Hrsg.), Vita Godefridi comitis Capenbergensis In: Georg Heinrich Pertz (Hrsg): Monumenta Germaniae historica inde ab anno Christi quingentesimo usque ad annum millesimum et quingentesimum, B 12, Hahn, Hannover 1856, S. 513–530
  • (Kijerumani) Gerlinde Niemeyer, Ingrid Ehlers-Kisseler (Hrsg.), Die Viten Gottfrieds von Cappenberg, Monumenta Germaniae Historica: Scriptores rerum Germanicarum in usum scholarum separatim editi; 74. Hahn, Hannover 2005. ISBN 3-7752-5474-9
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.