Guarino wa Palestrina

Guarino wa Palestrina (Bologna, Emilia-Romagna, leo nchini Italia, 1080 hivi - Palestrina, Lazio, 1158) alikuwa kanoni, Mwaugustino, halafu askofu wa Palestrina na kardinali maarufu kwa maisha yake magumu na kwa wema wake kwa fukara [1].

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 6 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.