Guglielmo Marconi
Guglielmo Marconi (25 Aprili 1874 – 20 Julai 1937) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baada ya uchunguzi mwingi, alivumbua njia ya mawasiliano bila waya.
Guglielmo Marconi
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Italia |
Jina katika lugha mama | Guglielmo Marconi |
Jina la kuzaliwa | Guglielmo Giovanni Maria Marconi |
Jina halisi | Guglielmo |
Jina la familia | Marconi |
Cheo cha heshima | marquess |
Tarehe ya kuzaliwa | 25 Aprili 1874 |
Mahali alipozaliwa | Bologna |
Tarehe ya kifo | 20 Julai 1937 |
Mahali alipofariki | Roma |
Chanzo cha kifo | natural causes |
Sehemu ya kuzikwa | Basilica of Santa Croce |
Baba | Giuseppe Marconi |
Mama | Annie Jameson |
Mwenzi | Beatrice Marconi, Maria Cristina Bezzi-Scali |
Mtoto | Degna Marconi Paresce |
Relative | Francesco Paresce |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiitalia |
Taaluma | uhandisi wa umeme, physical sciences |
Mwajiri | University of St Andrews |
Nafasi ilioshikiliwa | senator of the Kingdom of Italy |
Alisoma | University of Bologna |
Mwanachama wa chama cha siasa | National Fascist Party |
Dini | Katoliki |
Mgogoro | Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia |
Military branch | Royal Italian Navy |
Kumbukumbu katika | ETH Zurich University Archives, Bodleian Library |
Mwaka wa 1909, pamoja na Ferdinand Braun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Marconi ametajwa mara nyingi kama mvumbuzi wa redio pamoja na Nikola Tesla na Alexander Popov.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guglielmo Marconi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |