Hamdi Harbaoui
Mchezaji wa soka wa Tunisia
Hamdi Harbaoui (alizaliwa 5 Januari 1985) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ubelgiji Zulte Waregem na timu ya taifa ya Tunisia.
Kazi ya Klabu
haririMnamo Julai 2014, Harbaoui alihamia Qatar SC kwa mkataba wa miaka miwili, kwa ada ya keuro milioni 2.5.Tarehe 9 Mei 2016, Harbaoui alisaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Udinese Calcio ya Italia.
Mnamo tarehe 30 Agosti 2016, miezi mitatu tu baada ya kujiunga na Udinese na bila ya kuonekana katika mechi za ushindani, Harbaoui alirudi Ubelgiji akihamia klabu ya Anderlecht kwa mpango wa mwaka mmoja na baadaye kujiunga na klabu ya Zulte Waragem.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hamdi Harbaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |