Henoko
Henoko ni jina la watu wawili katika Biblia:
- mmoja alikuwa mtoto wa kwanza wa Kaini (Mwa 4:17);
- mwingine alikuwa mtoto wa Yaredi na baba wa Metuselah, ambaye akawa babu wa Nuhu (Mwanzo 5:21-23). Mwisho wa ajabu wa maisha yake ulisababisha mapokeo ya kwamba alitwaliwa mbinguni (YbS 44:16; Eb 11:5). Kwa sababu hiyo alitumiwa kama mhusika mkuu katika maandishi mbalimbali ya kabla ya Kristo, na hata ya baada yake, hasa katika Kitabu cha Henoko. Katika Uislamu anaheshimiwa kama nabii kwa jina la Idris.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henoko kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |