Historia ya Estonia

Historia ya Estonia inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Estonia.

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wadani na Waswidi, halafu sehemu ya Dola la Urusi.

Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Estonia ilijitangaza nchi huru.

Estonia imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Estonia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.