Honori wa Canterbury

Honori wa Canterbury (alifariki 30 Septemba 653[1]) kuanzia mwaka 627 alikuwa askofu mkuu wa tano wa Canterbury (Uingereza)[2].

Mzaliwa wa Roma, alikuwa ametumwa huko na Papa Gregori I mwaka 601 kama mmonaki mmisionari kwa Waangli na Wasaksoni kwa ombi la Augustino wa Canterbury[3][4][5].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana tarehe 30 Septemba[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Fryde, et al. Handbook of British Chronology p. 213
  2. Blair World of Bede pp. 96–97
  3. Hindley Brief History of the Anglo-Saxons pp. 43–45
  4. Stenton Anglo-Saxon England p. 112–113
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72550
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Blair, John (2002). "A Handlist of Anglo-Saxon Saints". In Thacker, Aland. Local Saints and Local Churches in the Early Medieval West. Oxford, UK: Oxford University Press. pp. 495–565. ISBN 0-19-820394-2
      .
     . http://www.oxforddnb.com/view/article/13664. Retrieved 7 November 2007.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.