Hortulani wa Bennefa
Hortulani wa Bennefa (alifariki baada ya 484) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki huko Bennefa katika Tunisia ya leo.
Aliteswa akapelekwa uhamishoni kwenye kisiwa cha Corsica (leo nchini Ufaransa) katika dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali[1].
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Novemba[2][3].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |