Hugo wa Lincoln
Hugo wa Lincoln, O.Cart. (pia: Hugo wa Avalon; Avalon[1], Dauphiné, Ufaransa Kusini, 1135/1140 – London, Uingereza, 16 Novemba 1200) alikuwa padri Mwaugustino, halafu mmonaki Mkartusi. Alitumwa kuongoza monasteri ya kwanza ya shirika lake Uingereza mwaka 1179[2].
Mwaka 1186 alifanywa askofu wa Lincoln; hapo alijitahidi vizuri kutetea uhuru wa Kanisa na vilevile kuokoa Wayahudi kutoka mikono ya maadui wao [3].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waanglikana kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Honori III tarehe 17 Februari 1220.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ British History Online Bishops of Lincoln Ilihifadhiwa 9 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine. accessed on 28 October 2007
- ↑ Butler, Richard Urban. "St. Hugh of Lincoln." The Catholic Encyclopedia. Vol. 7. New York: Robert Appleton Company, 1910. 26 May 2013
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90539
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- British History Online Bishops of Lincoln accessed on 28 October 2007
- King, Richard John Handbook to the Cathedrals of England: Eastern Division (1862) (On-line text).
- La tour d'Avalon accessed on 28 October 2007 – In French
- Fryde, E. B.; Greenway, D. E.; Porter, S.; Roy, I. (1996). Handbook of British Chronology (tol. la Third revised). Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 0-521-56350-X.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Catholic Saints Info: St. Hugh of Lincoln
- Friends of Buckden Towers Ilihifadhiwa 4 Machi 2020 kwenye Wayback Machine.
- The RC Parish of St Hugh of Lincoln Buckden and St Joseph in St Neots Ilihifadhiwa 11 Mei 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |