Ibrahim Hamad
Ibrahim Abdallah Hamad (Kuzaliwa 12 Novemba 1997), maarufu kwa jina la Ibrahim Bacca,[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutokea nchini Tanzania anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati kwenye klabu ya Young Africans. Anazichezea pia timu za taifa za Zanzibar na Tanzania.
Kazi
haririHamad alianza kucheza soka la kulipwa mwaka 2017 katika klabu ya Jang’ombe Boys inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar. Alihamia Malindi mwaka 2019 na kucheza misimu miwili. Mwaka 2021, alihamia KMKM ambako alishinda taji la Ligi guu ya Zanzibar msimu wa 2021–22. Januari 14 mwaka 2022, alihamia klabuy ya Young Africans inayoshiriki NBC Premier Leagur ambapo alishinda mataji ya ligi mara mbili mfululizo, Taji moja la Mashindano ya FA na Taji moja la Ngao ya Hisani.[2][3] Mnamo Novemba 2023 aliongeza mkataba wake mpaka mwaka 2027, baada ya kiwango cha hali ya juu alichokionyesha dhidi ya Al Ahly FC kwenye Mashindano ya Klabu bingwa Afrika, siku maalumu ilitengwa kwa ajili ya kumuenzi na kupewa jina la "Bacca Day".[4]
Tanbihi
hariri- ↑ Olipa Assa (19 Mei 2023). "Bacca sio uaskari tu hadi chips kauza" [Bacca is not just a car for chips]. Mwananchi.co.tz.
Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' (24)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "YANGA SC YASAJILI BEKI MAHIRI MZANZIBARI" [YANGA SC SIGNS UP A SMART DEFENDER FROM ZANZIBAR]. binzubeiry.co.tz.
- ↑ "Hawa hapa mastaa waliorejesha mataji Yanga" [Here are the stars who brought back Yanga titles]. Mwanaspoti.co.tz. 4 Februari 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "IBRAHIM BACCA AJITIA KITANZI JANGWANI HADI 2027" [IBRAHIM BACCA HAS A NOISE IN THE DESERT UNTIL 2027]. binzubeiry.co.tz.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |