Shady Records
Shady Records ni studio ya kurekodi muziki kutoka nchini Marekani. Studio ilianzishwa na Eminem na meneja wake Paul Rosenberg mwaka 1999 baada ya mafanikio makubwa ya albamu ya Eminem The Slim Shady LP.[1]
Shady Records | |
---|---|
Shady Records logo.png | |
Shina la studio | Universal Music Group |
Imeanzishwa | 1999 |
Mwanzilishi | |
Usambazaji wa studio |
|
Aina za muziki | Hip hop |
Nchi | Marekani |
Mahala |
Mwaka wa 2006, Shady ilitoa albamu iliyokwenda kwa jina la Eminem Presents: The Re-Up. Albamu hii ilishirikisha wasanii ambao walikuwa miongoni mwa washirika wa mwanzo wa lebo hiyo. Shady Records pia iliandaa nyimbo zilizotumika kwenye filamu iliyoigizwa na Eminem, 8 Mile. Wimbo wa "Lose Yourself" ulitumika kwenye filamu hii na ni wimbo wa kwanza wa hip hop kupokea Tuzo ya Akademi kwenye kipengele cha wimbo bora.
Washirika wa sasa wa Shady records ni pamoja na Eminem, Bad Meets Evil, Westside Boogie na Grip, wakati washirika wa zamani ni pamoja na D12, Obie Trice, 50 Cent, Stat Quo, Bobby Creekwater, Cashis, Slaughterhouse, Yelawolf, Griselda, Westside Gunn na Conway the Machine.
Historia
hariri2000–2004: Kuanzishwa, ukuaji na ugomvi
haririBaada ya Eminem kutoa albamu yake ya "The Slim Shady LP", alianzisha studio yake ya kurekodi muziki mwishoni mwa mwaka 1999. Eminem alikuwa anatafuta njia ya kutoa kazi za D12, na Rosenberg alikuwa na shauku ya kuanzisha lebo, hii ilipelekea wawili hao kuungana na kuanzisha Shady records.[2]
D12 ni wasanii wa kwanza kusainiwa na Shady kwani walikuwa wakiimba pamoja tangu miaka ya 1990, na washiriki walikuwa wamewekeana ahadi kwamba yeyote atakaye kuwa wa kwanza kufanikiwa angerudi na kuwasaini wenzake. [3] Mnamo Juni 2001, D12 ilitoa albamu ya "Devil's Night", na kushika nafasi ya 1 kwenye Billboard 200. [4] Obie Trice alitambulishwa na Bizzarre wa D12 kwa Eminem. Eminem alimsaini mnamo Juni 2001 kama msanii wa pili wa Shady.[5][6] Obie Trice alianza kupata umaarufu baada ya kufanya mitindo huru kwenye albamu ya Devil's Night.
Wakati akifanya maandalizi ya filamu ya 8 Mile, Eminem alikutana na 50 Cent. Eminem alikuwa amesikiliza nyimbo za awali za 50 Cent, akazipeleka kwa Dr. Dre na kumpa nafasi ya kufanya kazi pamoja kuendeleza kipaji chake. 50 Cent alikua msanii wa kwanza kusainiwa na Shady na Aftermath.[7] 8 Mile soundtrack ilikuwa albamu ya pili kutolewa na Shady.[8][9] Wimbo wa kwanza ulikuwa "Lose Yourself", wimbo huo ulichaguliwa kugombania tuzo mbalimbali na kufanikiwa kushinda Tuzo ya Akademi, ilikuwa mara ya kwanza kwa wimbo wa hip hop kushinda tuzo hiyo.[10][11][12] Wimbo wa pili ulikuwa "Wanksta" wa 50 Cent, ulipata maarufu sana katika mji wa nyumbani wa 50 Cent. [13] Wakati huu, Eminem pia alikuwa ameingia makubaliano na DJ Green Lantern, ambaye alitoa kanda mseto ya kwanza ya lebo hiyo, Invasion!, mwaka wa 2002.[14] Alikuwa DJ wa Eminem wakati wa Anger Management Tour. [15]
Wasanii
haririWasanii wa sasa
haririMsanii | Mwaka aliosainiwa |
Matoleo chini ya lebo |
---|---|---|
Eminem | Mwanzilishi | 10 |
Bad Meets Evil | 2011 | 1 |
Westside Boogie[16] | 2017 | 2 |
Grip[17][18] | 2021 | 1 |
Wasanii wa zamani
haririMsanii | Mwaka aliosainiwa |
Matoleo chini ya lebo |
---|---|---|
D12[19] | 2000—2018 | 2 |
Obie Trice[20] | 2001—2008 | 2 |
50 Cent[21] | 2002—2014 | 5 |
Stat Quo[22] | 2004—2008 | — |
Bobby Creekwater[23] | 2005—2009 | — |
Cashis | 2006—2011 | 1 |
Slaughterhouse[24] | 2011—2018 | 1 |
Yelawolf[25] | 2011—2019 | 4 |
Griselda | 2017—2020 | 1 |
Westside Gunn | 2017—2020 | 1 |
Conway the Machine | 2017—2022 | 1 |
Diskografia
haririAlbamu zote kwenye orodha ifuatayo zilizotolewa kupitia Shady Records na kusambazwa na Interscope Records. Studio yoyote ya ziada inayohusika imebainishwa.
Albamu za studio
haririMsanii | Albamu | Maelezo |
---|---|---|
D12 | Devil's Night | |
Eminem | The Eminem Show (ilitolewa na Aftermath) |
|
50 Cent | Get Rich or Die Tryin' (ilitolewa na Aftermath) |
|
Obie Trice | Cheers | |
D12 | D12 World | |
Eminem | Encore (Ilitolewa na Aftermath) |
|
50 Cent | The Massacre (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Obie Trice | Second Round's on Me |
|
50 Cent | Curtis (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Eminem | Relapse (Ilitolewa na Aftermath) |
|
50 Cent | Before I Self Destruct (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Eminem | Recovery (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Yelawolf | Radioactive |
|
Slaughterhouse | Welcome to: Our House |
|
Eminem | The Marshall Mathers LP 2 (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Yelawolf | Love Story (Ilitolewa na Slumerican) |
|
Trial by Fire (Ilitolewa na Slumerican) |
| |
Eminem | Revival (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Kamikaze (Ilitolewa na Aftermath) |
||
Westside Boogie | Everythings for Sale |
|
Yelawolf | Trunk Muzik III (Ilitolewa na Slumerican) |
|
Griselda | WWCD (Ilitolewa na Griselda) |
|
Eminem | Music to Be Murdered By (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Westside Gunn | Who Made the Sunshine (Ilitolewa na Griselda) |
|
Grip | I Died for This!? (Ilitolewa na Stray Society) |
|
Conway the Machine | God Don't Make Mistakes (Ilitolewa na Griselda) |
|
Westside Boogie | More Black Superheroes |
|
Albamu za mkusanyiko
haririMsanii | Albamu | Maelezo |
---|---|---|
Wasanii mbalimbali | 8 Mile | |
Eminem | Curtain Call: The Hits (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Various Artists | Eminem Presents: The Re-Up | |
Shady XV |
| |
Southpaw |
| |
50 Cent | Best of 50 Cent (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Eminem | Curtain Call 2 (Ilitolewa na Aftermath) |
|
Extended plays
haririMsanii | Albamu | Maelezo |
---|---|---|
Cashis | The County Hound EP |
|
Bad Meets Evil | Hell: The Sequel |
|
Tanbihi
hariri- ↑ "Loading..." www.hitquarters.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
- ↑ Detrick, Ben (Agosti 2005), "Loyalty", XXL Presents Shade 45, uk. 22, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-11, iliwekwa mnamo Januari 29, 2008
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Quibian Salazar-Moreno (September 18, 2003). "Emvisible: D12 looks to get out from underneath Eminem's shadow Archived 5 Februari 2015 at the Wayback Machine.". Westword.com. Accessed September 11, 2007.
- ↑ Todd Martens (June 28, 2001). "Devilish D12 Debut At No. 1". Billboard. Accessed January 15, 2008.
- ↑ Ruben Diaz (September 18, 2003). "Obie Trice: Real Name, No Gimmicks (Interview) Archived 30 Juni 2019 at the Wayback Machine.". BallerStatus.com. Accessed September 11, 2007.
- ↑ Rose, Leah (Agosti 2005), "Let Me In", XXL Presents Shade 45, uk. 60, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-21, iliwekwa mnamo Januari 29, 2008
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Shaheem Reid (July 1, 2002). "50 Cent, Worth a Million to Dr. Dre and Eminem Archived 24 Machi 2008 at the Wayback Machine.". MTV. Accessed March 12, 2007.
- ↑ Todd Martens (January 3, 2003). "'8 Mile' Back Atop The Billboard 200". Billboard. Accessed January 16, 2008.
- ↑ Todd Martens (January 8, 2003). "'8 Mile' Cruises To Fifth Week At No. 1". Billboard. Accessed January 8, 2008.
- ↑ Frank Ochieng (March 23, 2003). "The Aftermath: The 75th Annual Academy Awards Archived 17 Desemba 2013 at the Wayback Machine.". TheWorldJournal.com. Accessed January 21, 2008.
- ↑ Jon Burlingame (April 18, 2003). "That Win For "Lose Yourself"". FilmMusicSociety.org. Accessed September 11, 2007.
- ↑ Abbey Goodman (March 23, 2003). "'Chicago' Dances Away With Six Oscars; Eminem's Will Be Mailed To Him Archived 3 Aprili 2010 at the Wayback Machine.". MTV. Accessed January 21, 2008.
- ↑ Shaheem Reid (October 1, 2002). "50 Cent Works With Dre, Em, Trina, Possibly DMX On Debut Archived 3 Januari 2011 at the Wayback Machine.". MTV. Accessed January 16, 2008.
- ↑ Shaheem Reid (April 11, 2003). "Eminem Says If Tupac Were Alive, 'He Would Never Ride With Ja' Archived 22 Aprili 2003 at the Wayback Machine.". MTV. Accessed January 23, 2008.
- ↑ "Lighting the Way". Rochester City Newspaper (December 23, 2003). Accessed January 16, 2008.
- ↑ "Shady Records Boogie announcement". Shady Records. Iliwekwa mnamo 2017-10-11.
- ↑ "Shady Records' Grip Announces New Album". HotNewHipHop. Iliwekwa mnamo 2021-08-25.
- ↑ "Grip Shady Records Interview". Complex. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-14. Iliwekwa mnamo 2021-08-25.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "A Roundup of Rappers Eminem Name-Drops and Takes Shots at on 'Kamikaze'". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-23. Iliwekwa mnamo 2022-08-14.
- ↑ Shady Records Issues Statement On Obie's Departure Archived 2008-07-01 at the Wayback Machine
- ↑ HipHopDX- https://hiphopdx.com (2014-02-20). "50 Cent Leaves Shady Records, Aftermath Entertainment & Interscope Records". HipHopDX. Iliwekwa mnamo 2022-08-14.
{{cite web}}
: External link in
(help)|author=
- ↑ Stat Quo To Release 300-400 Unreleased Dr. Dre Tracks
- ↑ Bobby Creekwater
- ↑ "Royce Da 5'9" Confirms That Slaughterhouse is "Done"". The Latest Hip-Hop News, Music and Media | Hip-Hop Wired (kwa American English). 2018-04-26. Iliwekwa mnamo 2022-08-14.
- ↑ "Yelawolf Amicably Announces Departure From Shady Records". HotNewHipHop. Agosti 15, 2018. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Devil's Night [Import Bonus CD] - D12"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Devil's Night RIAA certification". RIAA. Retrieved January 7, 2019.
- ↑ Billboard, [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "The Eminem Show"]. Billboard.com.
- ↑ "RIAA – Searchable Database: Eminem Show". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Januari 7, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Get Rich or Die Tryin' - 50 Cent"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Cheers - Obie Trice"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Gold & Platinum: Obie Trice". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Desemba 7, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "D12 World - D12"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "D12 World RIAA certification". RIAA. Retrieved January 7, 2019.
- ↑ Billboard, "[[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Encore]" Billboard.com
- ↑ "RIAA – Searchable Database: Encore". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Januari 7, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "The Massacre - 50 Cent"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Second Round's on Me - Obie Trice"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Curtis - 50 Cent"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "RIAA – Searchable Database: Relapse". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Januari 7, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Before I Self Destruct - 50 Cent"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "RIAA – Searchable Database: Recovery". Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo Januari 7, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cyrus Langhorne (Novemba 30, 2011). "SALES WRAP: Rihanna Talks Her Way to the Top, Drake Loses His No. 1 Spot, Yelawolf Shocks the Chart". SOHH. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-03. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Eminem's 'Revival' Debuts at No. 1 on Billboard 200 Chart, G-Eazy & Jeezy Bow in Top 10". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 25, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Revival RIAA certification". RIAA. Retrieved January 7, 2019.
- ↑ "Eminem Earns Ninth No. 1 Album on Billboard 200 Chart With 'Kamikaze'". Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 10, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kamikaze RIAA certification". RIAA. Retrieved January 7, 2019.
- ↑ Navjosh (2019-03-14). "Yelawolf Reveals 'Trunk Muzik 3' Track List; Shares First Single". HipHop-N-More (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-03-14.
- ↑ "Eminem – 'Music to be Murdered By' Out Now".
- ↑ Jacob Moore (2021-08-23). "GRIP Almost Gave Up on Rap, Then Eminem Called". Pigeons & Planes (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-26. Iliwekwa mnamo 2021-08-26.
- ↑ "8 Mile - Original Soundtrack". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "8 Mile Soundtrack RIAA certification". RIAA. Accessed January 7, 2019.
- ↑ Billboard, [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Curtain Call: The Hits"]. Billboard.com.
- ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Eminem Presents: The Re-Up - Eminem"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Eminem Presents the Re-Up RIAA certification". RIAA. Accessed January 7, 2019.
- ↑ "County Hounds - Cashis". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Keith Caulfield (Juni 22, 2011). "Eminem & Royce da 5'9" Debut at No. 1 on Billboard 200 with Bad Meets Evil EP". Billboard. Iliwekwa mnamo Desemba 1, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Vingo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shady Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |