Wanksta
"Wanksta" ni single ya pili kutoka katika albamu ya kibwagizo halisi cha filamu ya 8 Mile. Kibao kilitolewa mnamo mwaka wa 2002, wimbo, ulioimbwa na 50 Cent, ulifikia nafasi ya 13. Ulikuwa wa kwanza kutumiwa kwenye mixtape ya No Mercy, No Fear.
“Wanksta” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya 50 Cent kutoka katika albamu ya Music from and Inspired by the Motion Picture 8 Mile na Get Rich or Die Tryin' | |||||
Imetolewa | 6 Mei 2002 | ||||
Muundo | 12" | ||||
Imerekodiwa | 2002 | ||||
Aina | Gangsta rap | ||||
Urefu | 3:44 | ||||
Studio | Aftermath, Interscope, Shady, G-Unit Records | ||||
Mtunzi | Curtis Jackson | ||||
Mtayarishaji | John "J-Praize" Freeman (mixed by Dr. Dre) | ||||
Certification | Gold (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za 50 Cent | |||||
|
Nafasi ya chati
haririChati (2002) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | 13 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 4 |
U.S. Billboard Hot Rap Tracks | 3 |
Viungo vya nje
hariri- Music video for "Wanksta" katika YouTube
- Alternate music video for "Wanksta" remix Ilihifadhiwa 7 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.