Inosenti wa Alaska

Inosenti wa Alaska (kwa Kirusi: Святитель Иннокентий Митрополит Московский; kwa Kiingereza: Saint Innocent Metropolitan of Moscow; Anginskoye, Irkutsk Oblast, 6 Septemba = 26 Agosti O.S. 1797Moscow 12 Aprili = 31 Machi O.S. 1879), alikuwa padri mmisionari wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi ambaye akawa askofu wa kwanza wa Kiorthodoksi katika bara la Amerika na hatimaye askofu mkuu wa Moscow na Russia yote.

Picha takatifu ya Mt. Inosenti.

Alitangazwa na Patriarki Pimen I kuwa mtakatifu tarehe 6 Oktoba 1977 (23 Septemba O.S.).

Maandishi yake

hariri

In the Aleut language – Eastern dialect of the Fox Islands:


In the Aleut language – Western dialect of Atka Island


In the Aleut language – Eastern dialect of the Fox Islands, with footnotes in the Western dialect of Atka Island


In Russian:

  1. Часть I, географическая
  2. Часть II, этнографическая. Замечания об алеутах М.: ЛИБРОКОМ, 2011. — 336 с.
  3. Часть III, Записки об атхинских алеутах и колошах (колюжах, тлинкитах) Ilihifadhiwa 21 Aprili 2013 kwenye Wayback Machine.. М.: УРСС, 2011. — 160 с.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.