Irin Carmon

Mwandishi

Irin Carmon ni mwandishi wa habari na mtoa maoni wa nchini Marekani mwenye asili ya Israeli [1]. Ni mwandishi mkuu katika jarida la New York Magazine, [2] na mchangiaji wa CNN . [3] Pia ni mwandishi mwenza wa Notorious RBG: The Life and Times of Ruth Bader Ginsburg. Hapo awali, alikuwa mwandishi wa habari wa kitaifa katika MSNBC, akizungumzia wanawake, siasa, na utamaduni katika tovuti. Alikuwa mfanyabiashara mgeni katika mpango wa utafiti wa haki ya uzazi katika shule ya sheria ya Yale . [4]

Carmon mnamo 2015

Mnamo mwaka 2011, alitajwa kuwa mmoja wa gazeti la Forbes ' "30 under 30" [5] kwenye vyombo vya habari na kuangaziwa katika jarila la New York Magazine kama wanaharakati wadogo. Alipokea tuzo ya Sidney award ya Novemba 2011 kutoka kwa taasisi ya The Sidney Hillman Foundation kwa kutambua kuripoti kwake kuhusu Mississippi Personhood Initiative for Salon. [6] Mediaite alimtaja miongoni mwa wanne katika tuzo yake ya mchambuzi bora wa TV mwaka 2014.

Maisha ya awali hariri

Carmon ni Myahudi [7] na alizaliwa nchini Israeli, mjukuu wa Wazayuni walioishi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia . [8] Alikulia kwenye kisiwa cha Long. [9] Yeye ni raia wa Marekani. [10]

Marejeo hariri

  1. "Irin Carmon". Twitter. 
  2. "Irin Carmon Joins New York Magazine As Senior Correspondent". New York Magazine. Iliwekwa mnamo 30 December 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "'Notorious RBG' Author Irin Carmon Hired by CNN as Contributor". The Wrap. Iliwekwa mnamo 30 December 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Irin Carmon - MSNBC". MSNBC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-01. Iliwekwa mnamo 10 May 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. Bercovici, Jeff. "Media". Forbes Magazine. Iliwekwa mnamo 2 January 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Irin Carmon Wins November Sidney Award - Hillman Foundation". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 December 2011. Iliwekwa mnamo 10 May 2017.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  7. "I'm a Jew". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-21. 
  8. "Helen Thomas: When An Icon Disappoints". Retrieved on 2022-03-12. Archived from the original on 2016-12-20. 
  9. "Good Enough To Eat Meet: Say Hello To Our Newest Ladyblogger". Retrieved on 2022-03-12. Archived from the original on 2016-12-20. 
  10. [1], Twitter.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irin Carmon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.