Ivo Mapunda
Mchezaji wa Tanzania
Ivo Philip Mapunda (alizaliwa 12 Aprili 1984),mkoani Dar es Salaam. Alikuwa mchezaji wa soka nchini Tanzania akicheza nafasi ya mlinda mlango(golikipa). Aliwahi kuchezea klabu ya Simba S.C inayoshiriki Ligi kuu nchini Tanzania.
Taaluma
haririMapunda alianza kucheza mpira wa miguu na klabu ya Young Africans S.C na mwaka 2008 mwezi Julai aliingia mkataba wa kuichezea timu ya Saint-George SA. Mwaka 2009 aliachana na t logo ya Ethiopia na kuingia mkataba wa miezi sita na klabu ya African Lyon F.C..[1]
Soka Lake Kimataifa
haririMapunda ameiwakilisha Tanzania katika timu ya taifa ya Tanzania inayojulikana kama Taifa Stars.[2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ivo Mapunda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |