İzmir
(Elekezwa kutoka Izmir)
İzmir, kwa jina la kihistoria Smyrna, ni mji wa tatu kwa ukubwa katika Uturuki, na ndio mji wenye bandari kubwa baada ya Istanbul. Upo katika eneo la maji yatokayo Ghuba ya İzmir, katika Bahari ya Aegean.
Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa İzmir, ambao una eneo la kilomita za mraba zipatazo 7350.
Mji wa İzmir una wilaya zipatazo kumi. Wilaya hizo ni pamoja na Balçova, Bornova, Buca, Çiğli, Gaziemir, Güzelbahçe, Karşıyaka, Konak, Menemen, na Narlıdere, ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.
Kanisa la Smirna ni kati ya yale saba ambayo yaliandikiwa barua katika Ufunuo wa Yohane, kitabu cha mwisho cha Agano Jipya na cha Biblia ya Kikristo. Ndilo linalosifiwa zaidi, hasa kutokana na kiongozi wake, askofu Polikarpo wa Smirna.
Idadi ya wakazi kwa miakaEdit
Idadi ya watu wa İzmir | |||
---|---|---|---|
Mwaka | Idadi | ||
2007 | 2,606,294 | ||
2000 | 2,232,265 | ||
1990 | 1,758,780 | ||
1985 | 1,489,817 | ||
1970 | 554,000 | ||
1965 | 442,000 | ||
1960 | 371,000 | ||
1955 | 286,000 | ||
1950 | 231,000 | ||
1945 | 200,000 | ||
1940 | 184,000 | ||
1935 | 171,000 | ||
1927 | 154,000 |
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- All about izmir
- Erol Özdayı. İzmir by Night Photographs I (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-10. Iliwekwa mnamo 2009-05-28. Melih İnanlı. İzmir by Night Photographs II (Turkish). İzmir Photographic Arts Society. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-06-06. Iliwekwa mnamo 2009-05-28.
- İzmir blog in English by expats
- Ahmet Kıvanç Kutluca, Semahat Özdemir (2006-12-17). Landslide, Earthquake & Flood Hazard Risks of Izmir Metropolitan City, A Case: Altindag Landslide Areas. Proceedings of WASET (World Academy of Science, Engineering and Technology), Volume 17. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-15. Iliwekwa mnamo 2009-05-28.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu İzmir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |