Jamila Abbas
mwanasayansi wa kompyuta, mhandisi wa programu, mfanyabiashara na mjasiriamali nchini Kenya.
Jamila Abbas, ni mwanasayansi wa kompyuta, mhandisi wa programu za kompyuta, mfanyabiashara na mjasiriamali nchini Kenya.[1]Yeye ni mwanzilishi mwenza na Afisa mtendaji mkuu wa MFarm Kenya Limited, shirika linalojikita kwenye intaneti ambalo linawasaidia wakulima kupata zana bora zaidi za kilimo, mbegu, kuweza kupata ripoti za hali ya hewa na taarifa za soko.[2] Alishiriki kuanzisha mradi wa M-Farm mwaka 2010.[1]
Elimu
haririJamila Jamila alizaliwa nchini Kenya na alisoma shule za eneo hilo kwa elimu yake ya kabla ya chuo kikuu. alihudhuria Chuo Kikuu cha Strathmore, kuhitimu kwa shahada ya sayansi katika Uhandisi wa programu.[3]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jamila Abbas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ 1.0 1.1 AGRA News (24 Mei 2018). "Jamila Abass: The queen of African Agritech Industry". Westlands, Nairobi: Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2019.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ NVO (5 Februari 2017). "Jamila Abbas, tech entrepreneur, to direct New Vision Foundation". New Vision Organization (NVO). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-26. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2017.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Makeni, John (7 Januari 2011). "Girls who created social network for farmers". Daily Nation. Nairobi. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)