Jana Sio Leo
'Jana Sio Leo ni wimbo wa Zola D akimshirikisha Dknob na Mez B. Wimbo ulitayarishwa katika studio ya Mandugu Digital ya Dar es Salaam, ikiwa chini ya utayarishaji wake Shark na Back Stage kunako mwaka wa 2003. Wimbo umepata kushika chati kadhaa katika maredio ya Dar - sanasana katika Times Fm redio.
“Jana Sio Leo” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Zola D akimsh. Dknob na Mez B` kutoka katika albamu ya Jana Sio Leo | |||||
Imetolewa | 21 Oktoba 2003 | ||||
Imerekodiwa | 2003 | ||||
Aina | Hip Hop | ||||
Studio | Mandugu Digital | ||||
Mtunzi | David Mlope Innocent Sahani Mez B | ||||
Mtayarishaji | Shark Back Stage | ||||
Mwenendo wa za Zola D | |||||
|
|||||
Mwenendo wa za Dknob | |||||
|
Waliouza sura katika video ya jana sio leo alikuwa Mr. Dude, Mtanga na wengineo kibao. Video yake ilifanywa na kampuni utengenezaji wa filamu na video za muziki iitwayo Rav Production. Vilevile nyimbo hii imepata kuwa kama kibwagizo cha filamu ya Nyuma ya Pazia ya mwaka 2003.