Java (lugha ya programu)
Java ni lugha ya programu. Iliundwa na James Gosling na ilianzishwa tarehe 23 Mei 1995. Iliundwa ili kuumba programu kwa Android. Leo tunatumia Java SE 13. Ilivutwa na C++.
Java | |
---|---|
Shina la studio | namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee
namna nyingi |
Imeanzishwa | Mei 23 1995 |
Mwanzilishi | James Gosling |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: Ada 83, C++, C#, Eiffel, Mesa, Modula-3, Oberon, Objective-C, UCSD Pascal, Object Pascal
Ilivuta: Ada 2005, BeanShell, C#, Chapel, Clojure, ECMAScript, Fantom, Gambas, Groovy, Hack, Haxe, J#, Kotlin, PHP, Python, Scala, Seed7, Vala |
Mahala | Sun Microsystems |
Tovuti | https://www.oracle.com/java/ |
Historia
haririIlianzishwa mwaka wa 1995 nchini Marekani. James Gosling, Mike Sheridan, na Patrick Naughton walianza kufanya kazi kuhusu Java mwaka wa 1991. Mwaka wa 1996 Sun Microsystems ilichapa Java 1.0.
Falsafa
haririNamna ya Java ni ile inaozingatiwa kuhusu kipengee na namna nyingi.
Sintaksia
haririSintaksia ya Java ni ngumu sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Java
haririProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
public class JamboUlimwengu {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Jambo ulimwengu !");
}
}
Programu kwa kutafuta thamani katika jedwali.
class Mfano2 {
public static void main(String[] args) {
int[] table = {12, -5, 7, 8, -6, 6, 4, 78, 2};
byte elt = 4;
short i;
for (i = 0; i < 8; i++) {
if (elt == table[i]) {
break;
}
}
afficher(i, elt);
}
static void afficher(int rang, long val) {
if (rang == 8) {
System.out.println("thamani : " + val + " haitafutwi.");
} else {
System.out.println("thamani : " + val + " thamani anatafutwa in rank :" + rang);
}
}
}
Marejeo
hariri- Binstock, Andrew (May 20, 2015). "Java's 20 Years of Innovation". Forbes. Archived from the original on March 14, 2016. Retrieved March 18, 2016.
- Chaudhary, Harry H. (July 28, 2014). "Cracking The Java Programming Interview :: 2000+ Java Interview Que/Ans". Retrieved May 29, 2016.
- Java 5.0 added several new language features (the enhanced for loop, autoboxing, varargs and annotations), after they were introduced in the similar (and competing) C# language. [1] Archived March 19, 2011, at the Wayback Machine [2] Archived January 7, 2006, at the Wayback Machine
- Gosling, James; McGilton, Henry (May 1996). "The Java Language Environment". Archived from the original on May 6, 2014. Retrieved May 6, 2014.