Jennifer Richard Shigoli

mwanzilishi na Mkurugenzi wa shirika la Malkia Investments


Jennifer Richard Shigoli Ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa shirika la Malkia Investments inayotengeneza pedi za bei nafuu ambazo zinaweza kutumika zaidi ya mara moja.

Jennifer Richard Shigoli
Nchi Tanzania
Kazi yake ujasiriamali
Cheo Mkurugenzi


Pia ni Mkurugenzi wa Tanzania Institute of Manufacturing (TIM).

Elimu hariri

Kitaaluma Jennifer ni mwanasheria na mwanadiplomasia.[1]

Alipata shahada ya kwanza ya Sheria katika chuo kikuu cha Tumaini University, Dar es Salaam chuo.

Tuzo hariri

Amefanikiwa kushinda tuzo ya ujasiriamali ya ‘African Entreprenureship Award 2016’ kwenye kipengele cha elimu [2] [3]

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Richard Shigoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-04. Iliwekwa mnamo 2018-10-20. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-04-30. Iliwekwa mnamo 2019-03-07. 
  3. http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/mtanzania-jennifer-shigoli-atajwa-kuwa-mjasiriamali-bora-afrika-2016