Jeromu wa Nevers (karne ya 8 - 5 Oktoba 815) alikuwa askofu wa 21 wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 795 hadi kifo chake. Aliinua jimbo lake na fukara wengi waliokuwepo kwa ukarimu mkubwa na juhudi za kichungaji [1].

Alishiriki mtaguso wa Tours wa mwaka 813 [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Oktoba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/73030
  2. https://nominis.cef.fr/contenus/saint/8449/Saint-J%C3%A9r%C3%B4me-de-Nevers.html
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.