Mkoa wa Indénié-Djuablin


auto

Mkoa wa Indénié-Djuablin (kwa Kifaransa: Région de l’ Indénié-Djuablin) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Indénié-Djuablin
Mahali paMkoa wa Indénié-Djuablin
Mahali paMkoa wa Indénié-Djuablin
Mahali pa Mkoa wa Indénié-Djuablin (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Comoé
Serikali[1]
 - Prefect Fadi Ouattara,
 - Rais wa Baraza Abinan Kouakou Pascal
Eneo[2]
 - Jumla 8,000 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 560,432
GMT (UTC+0)

Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Abengourou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 560,432.

Indénié-Djuablin kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Indénié-Djuablin" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.