Jimbo la Gombe

jimbo nchini Nigeria
Jimbo la Gombe
Jina la Utani la Jimbo: Mkufu katika Savannah
Mahali lililoko
Eneo lilokoGombe State in Nigeria
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Mohammed Danjuma Goje (PDP)
Tarehi lilipoanzishwa 1 Oktoba 1996
Mji mkuu Gombe
Eneo 18,768 km²
Kuorodheshwa-21
Idadi ya Watu 2006 makadirio Limeorodheshwa nambari 33
2,353,000
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per Capita
2007 (kadirio)
$ 2.50 bilioni [1]
$1,036[1]
ISO 3166-2 NG-GO

Jimbo la Gombe liko kaskazini mwa Nigeria, ni mojawapo ya majimbo 36 ya nchi hii; mji mkuu wake ni Gombe.

Mahali pa Gombe katika Nigeria

Jimbo la Gombe, ambalo jina lake la utani ni 'Mkufu katika Savannah', liliundwa Oktoba 1996 kutoka katika sehemu ya kale ya Jimbo la Bauchi na serikali ya kijeshi ya Abacha. Jimbo hili lina ukubwa wa eneo la 20,265 km ² na jumla ya idadi ya watu karibu 2,353,000 kulingana na 2006. [2] Kati ya idadi yote ya watu, takriban 7.8% ni wameambukizwa HIV[3]

Maeneo ya utawala

hariri

Gombe imegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa takribani kumi na moja. Nayo ni:

Takwimu za watu

hariri

Wakaazi wa Jimbo la Gombe ni haswa watu wa kabila la Fulani. [1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database)". Canback Dangel. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.
  2. "Nigerian Population 2006". NigerianNews. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-09. Iliwekwa mnamo 2007-05-09.
  3. "State Population and Development Programmes". Nigeria.unfpa.org. United Nations Population Fund. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-02. Iliwekwa mnamo 2007-05-09.

Viungo vya nje

hariri


 
Majimbo ya Nigeria
 
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara

10°15′N 11°10′E / 10.250°N 11.167°E / 10.250; 11.167

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Gombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.