Eneo bunge la Kibwezi
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kibwezi)
Eneo bunge la Kibwezi lilikuwa jimbo la Uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya Majimbo Matano ya wilaya ya Makueni. Jimbo hili lilianzishwa mnamo Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Miji ya Makindu, Mtito Andei na Kibwezi ilipatikana katika Jimbo hili.
Kwa sasa limegawanywa.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|
1988 | Agnes Mutindi Ndetei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Agnes Mutindi Ndetei | DP | |
1997 | Onesmus Mutinda Mboko | SDP | |
2002 | Richard Kalembe Ndile | NARC | |
2007 | Philip Kaloki | ODM-Kenya |
Lokesheni na Wodi za Udiwani
haririLokesheni | |
Lokesheni | Idadi ya Wakazi* |
---|---|
Chyulu Hills Nat. Park | 2 |
Kambu | 11.642 |
Kiboko | 9,933 |
Kikumbulyu | 41,223 |
Kinyambu | 8,370 |
Makindu | 18,410 |
Masongaleni | 24,283 |
Mtito Andei | 24,368 |
Ngwata | 11,797 |
Nguumo | 25,189 |
Nthongoni | 19,777 |
Nzambani | 13,513 |
Tsavo West | 12 |
Twaandu / Kiboko | 7,658 |
Utithi | 24,534 |
Jumla | x |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga KUra waliojisajili | Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Ivingoni / Mang'elete | 3,044 | Mtito Andei (mji) |
Kambu | 1,808 | Mtito Andei (Mji) |
Kathekani / Darajan | 2,839 | Mtito Andei (Mji) |
Mtito Andei | 2,052 | Mtito Andei (Mji) |
Kikumbulyu | 12,427 | Makueni County |
Kinyambu | 10,742 | Makueni County |
Makindu | 13,711 | Makueni County |
Masongaleni | 5,932 | Makueni County |
Mtito Andei East | 7,711 | Makueni County |
Mtito Andei West | 3,559 | Makueni County |
Twaandu / Kiboko | 5,475 | Makueni County |
Jumla | 69,300 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Virejeleo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency