Eneo bunge la Kitutu Chache
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kitutu Chache)
Eneo bunge la Kitutu Chache lilikuwa Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya, moja ya Majimbo manne katika wilaya ya Kisii
Aliyekuwa Waziri wa Maswala ya Nchi za Kigeni Zachary Onyonka alikuwa akiliwakilisha jimbo hili kama mbunge, ingawa awali alikuwa ameliwakilisha jimbo la Kitutu West ambalo liligawanwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 1988. Baadaye liligawanywa.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Zachary Onyonka | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Zachary Onyonka | KANU | Onyonka aliaga wakati akiendelea kuhudumu kwa kipindi chake |
1994 | Jimmy Angwenyi | KANU | Uchaguzi Mdogo |
1997 | Jimmy Angwenyi | KANU | |
2002 | Jimmy Angwenyi | Ford-People | |
2007 | Richard Momoima Onyonka | PDP |
Wodi
haririWodi | ||
Wodi | Registered Voters | Utawala |
---|---|---|
Bogeka | 4,067 | Gusii county |
Daraja Mbili | 3,548 | Munisipali ya Kisii |
Kegogi | 6,906 | Gusii county |
Kiamwasi | 1,579 | Munisipali ya Kisii |
Kiongongi | 1,666 | Munisipali ya Kisii |
Marani | 8,888 | Gusii county |
Mosocho | 6,372 | Gusii county |
Mwamonari | 5,740 | Gusii county |
Ngenyi | 10,235 | Gusii county |
Nyabururu | 2,454 | Munisipali ya Kisii |
Nyakoe | 5,603 | Gusii county |
Nyankongo | 2,722 | Munisipali ya Kisii |
Nyatieko | 3,749 | Gusii county |
Sensi | 4,350 | Gusii county |
Jumla | 67,879 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
hariri- Tovuti ya Jimbo la Uchaguzi la Kitutu Chache Archived 28 Septemba 2008 at the Wayback Machine.