Wilaya ya Kisii Kati
Wilaya ya Kisii Kati ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza, Kusini Magharibi mwa Kenya, hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Kisii ambao una wakazi Wakisii.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kisii.
Tarafa na Maeneo ya Utawala
haririMaeneo ya Utawala | |||
Eneo | Aina | Idadi ya Watu* | Wakazi wa mji* |
---|---|---|---|
Kisii | Munisipali | 59,248 | 25,634 |
Keroka | Mji | 44,861 | 3,720 |
Masimba | Mji | 40,218 | 1,666 |
Suneka | Mji | 43,908 | 4,217 |
Gusii | County | 303,551 | 0 |
*hesabu ya watu ya 1999. Kiini: [1] Archived 1 Machi 2020 at the Wayback Machine. |
Tarafa za Utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Wakazi* | Wakazi wa Mtaa* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Keumbu | 109,837 | 8,843 | Keumbu |
Kisii township | 37,531 | 12439 | Kisii |
Marani | 89,215 | 0 | Marani |
Masaba | 105,926 | 908 | Masimba |
Mosocho | 63,247 | 0 | Nyakoe |
Suneka | 86,030 | 3,723 | Suneka |
*Hesabu ya 1999. Kiini: [2] Archived 28 Septemba 2007 at the Wayback Machine.,
[3] Archived 18 Julai 2011 at the Wayback Machine. |
Majimbo ya Ubunge Wilayani
haririWilaya ya Kisii ina Majimbo manne ya Ubunge:
Uchumi
haririWakazi wengi wa wilaya hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya Kifedha[1].
Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mapato ya Kilimo. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, Ndizi na Chai.
Tazama Pia
hariri- Wilaya ya Gucha (Kisii Kusini)
- Wilaya ya Nyamira (Kisii Kaskazini)
- Mji wa Kisii
Marejeo
hariri- ↑ Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org
Viungo vya Nje
hariri- Tovuti ya Kisii.com
- NPR Masimulizi kuhusu Lugha ya Kikisii
- Mradi wa Fulda-Mosocho Archived 22 Julai 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kisii Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |