Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town
Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town lilikuwa Jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo sita ya uchaguzi katika Wilaya ya Nakuru. Sehemu yote ya jimbo hili ilipatikana chini ya Baraza la Munisipali ya Nakuru.
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, kwa hivyo ni mojawapo ya majimbo ya uchaguzi ya kwanza kabisa nchini Kenya baada ya Uhuru.
Wabunge
haririMwaka | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Achieng Oneko | KANU | |
1966 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | |
1969 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1976 | Willy Komen | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Mark Waruiru Mwithaga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Amos Kabiru Kimemia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Amos Kabiru Kimemia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | J. C. Lwali-Oyondi | Ford-Asili | |
1997 | David Manyara Njuki | DP | |
2002 | Mirugi Kariuki | NARC | Kariuki alikufa katikaajali ya angani mnamo 2006 |
2006 | William Kariuki Mirugi | NARC-K | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Lee Maiyani Kinyanjui | PNU |
Lokesheni na Wodi
haririLokesheni | |
Lokesheni | Idadi ya watu* |
---|---|
Baruti | 11,633 |
Central | 97,811 |
Kaptembwo | 137,317 |
Lake Nakuru | 426 |
Lanet | 46,217 |
Jumla | x |
Hesabu ya 1999 |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliosajiliwa |
---|---|
Barut East | 2,502 |
Barut West | 2,838 |
Biashara | 21,028 |
Bondeni | 4,119 |
Hospital | 6,700 |
Kaptembwa | 7,200 |
Kivumbini | 12,420 |
Lake View | 6,019 |
Langa Langa | 8,135 |
Menengai | 4,696 |
Nakuru East | 9,854 |
Rhoda | 7,916 |
Shabab | 9,751 |
Shauri Yako | 4,541 |
Viwanda | 4,863 |
Jumla | 112,582 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency