Josaphat Louis Lebulu
Josaphat Louis Lebulu (amezaliwa 13 Juni 1942) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1979.
Baada ya kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Same, tangu mwaka 1999, alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha hadi alipostaafu tarehe 27 Desemba 2017.
Aliwahi kuwa rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (1988-1994).
Viungo vya nje
hariri- Ukurasa wa Askofu Lebulu katika Catholic Hierarchy
- Shukrani sana Askofu mkuu Lebulu! Shikamaneni na Askofu mkuu Amani
- The Most Rev. Josaphat L. Lebulu Ilihifadhiwa 2 Januari 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |