Jost Gippert
Jost Gippert ([ˈjoːst ˈgɪpʰɐt]; amezaliwa tar. 12 Machi mwaka 1956 katika Winz-Niederwingen, sasa: Hattingen, Ujerumani) ni mwanaisimu mjerumani na mwanamaarifa wa Caucasus. Yeye ni profesa kwa isimu ya mlingo katika chuo kikuu "Johann-Wolfgang-Goethe", Frankfurt.[1]
Wasifu
haririMwaka wa 1972 alihitimu masomo ya sekondari katika "Leibniz-Gymnasium", katika mji wa Essen-Altenessen. Tangu 1972 mpaka 1977 alijifunza isimu wa mlingo, usayansi wa India, usayansi wa Japan na usayansi wa China katika chuo kikuu Marburg na chuo kikuu huru Berlin.[2] Baada ya masomo aliupata udaktari wa Falsafa (Ph.D.) kwa kazi yake kuhusu "Syntax of infinitival formations in the Indo-European languagues". Tangu 1977 mpaka 1990 alifanya kazi nyingine kama mwanamaarifa na alifanya madarasa katika Berlin, Vienna na Salzburg. Mwaka wa 1991, alipofanya kazi kama mwanamaarifa kwa isimu ya mashariki ya kompyuta, yeye alifanya habilitation katika chuo kikuu mji wa Bamberg kwa kazi yake kuhusu "Iranian loanwords in Armenian and Georgian". Jost Gippert afundisha isimu ya mlingo katika chuo kikuu "Johann-Wolfgang-Goethe", Frankfurt, tangu 1994. Tangu 1996 yeye ni mwanachama mgeni wa „Gelati Science Academy“ (Georgia). Tangu 2002 yeye ni mwanachama wa "Tufankommission"; na tangu 2007 ni mwanachama wa Katikati "Lugha" ya Chuo cha Sayansi Berlin-Brandenburg (Berlin-Brandenburg Science Academy).
Mwaka wa 1997 aliteuwa profesa wa heshima katika chuo kikuu "Sulkhan Saba Orbeliani", mji wa Tbilisi (Georgia), na 2009 aliteuwa udaktari wa heshima katika chuo kikuu "Ivane Javakhishvili", mahali sawasawa. Na mwaka wa 2013 aliteuwa udaktari wa heshima katika chuo kikuu "Shota Rustaveli", mji wa Batumi (Georgia). Kazi zake muhimu kama profesa kwa isimu ya mlingo katika Frankfurt, licha ya uchunguzi wa lugha za Kihindi-Kiulaya na mgawanyiko jenerali wa lugha, ni uchunguzi wa lugha za Caucasus. Miradi mingine ya kimataifa imefanyiwa chini ya usimamizi wake.
Jost Gippert anatawala mradi wake "TITUS" kama mwanaisimu wa kompyuta tangu mwaka 1987. Mradi "TITUS" wana shabaha kubomba madata ya nakala ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Uchunguzi muhimu wa Jost Gippert ni isimu ya mlingo na kihistoria, mgawanyiko ya lugha, electronic text corpora, multimedia language documentation na electronic manuscript analysis.
Miradi
hariri- 1995-1998 (DFG): Avesta and Rigveda: Electronic Analysis
- 1995-1999 (INTAS): The Georgian Verbal System
- 1999-2002 (Volkswagen Foundation, EUR 117,900): Caucasian Languages and Cultures: Electronic Documentation
- Tangu 2000 (DFG): Graduate School “Types of Clauses: Variation and Interpretation”
- 2002-2006 (Volkswagen Foundation, EUR 167,800): Endangered Caucasian Languages in Georgia
- 2003-2007 (Volkswagen Foundation): Palimpsest Manuscripts of Caucasian Provenience
- 2005-2009 (INTAS): Georgian Gospels
- 2005-2007 (Volkswagen Foundation, EUR 189,000): The Linguistic Situation in modern-day Georgia[3]
- 2008-2014 (DFG, EUR 240,000): Old German Reference Corpus
- Tangu 2008 (en:BMBF): German Language Resource Infrastructure
- 2009 (Volkswagen Foundation, EUR 400,000): Aché Documentation Project
- Tangu 2009 (DFG/NEH, EUR 96,000): RELISH (Rendering Endangered Languages Lexicons Interoperable Through Standards Harmonization)
- Tangu 2009 (Volkswagen Foundation): Georgian Palimpsest Manuscripts
- 2010 (Google Inc., US$49,600): Corpus Caucasicum
- Tangu 2011 (HMWK, EUR 3,792,000): LOEWE Research Unit “Digital Humanities – Integrated Processing and Analysis of Text-based Corpora”
- Tangu 2011 (Volkswagen Foundation, EUR 299,600): Khinalug Documentation Project
- Tangu 2011 (DFG): Relative Clauses in a Typological View
- Tangu 2012 (Volkswagen Foundation, EUR 390,400): Georgian National Corpus
Machapisho
hariri- 1977: The syntax of infinitival formations in the Indo-European languages. (Europäische Hochschulschriften, 21/3), 360 pp.; Frankfurt, Bern, Las Vegas: Lang 1978. Dissertation
- 1990: Iranica Armeno-Iberica. A study of Iranian loan words in Armenian and Georgian, 451 + 389 pp.; Vienna: Austrian Academy of Sciences 1993. Inaugural dissertation.
- 2007: Gippert, Jost / Sarjveladze, Zurab / Kajaia, Lamara: The Old Georgian Palimpsest Codex Vindobonensis georgicus 2, edited by Jost Gippert in co-operation with Zurab Sarjveladze and Lamara Kajaia, 368 pp.; Turnhout: Brepols 2007.
- 2008: Gippert, Jost / Schulze, Wolfgang / Aleksidze, Zaza / Mahé, Jean-Pierre: The Caucasian Albanian Palimpsests of Mount Sinai, 2 vols., XXIV + 530 pp.; Turnhout: Brepols 2009.
- 2010: Gippert, Jost / Schulze, Wolfgang / Aleksidze, Zaza / Mahé, Jean-Pierre: The Caucasian Albanian Palimpsests of Mount Sinai. Vol. III: The Armenian Layer, edited by Jost Gippert., 220 pp.; Turnhout: Brepols 2010.
Marejeo
hariri- ↑ "Lectures held by Gippert at the University of Frankfurt" Retrieved 2 March 2016
- ↑ "Jost Gippert's curriculum vitae" Retrieved 2 March 2016
- ↑ "Die Sprachliche Situation im gegenwärtigen Georgien (German)" Ilihifadhiwa 25 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. Retrieved 2 March 2016