Jumba la David Livingstone, Zanzibar
Jumba la David Livingstone ni jengo la kihistoria lililopo Mji Mkongwe, Zanzibar.[1]
Historia
haririLilijengwa mnamo 1860 kwa ajili ya Sultani Majid bin Said](sultani kutoka mwaka 1856 mpaka 1870).[1][2]
David Livingstone aliishi kwenye jumba hilo kabla ya kusafiri kuelekea bara kuanza safari yake ya mwisho mnamo 1866.[2]
Kwa sasa ni ofisi kuu ya shirika la utalii la Zanzibar Tourist Corporation (ZTC).[2]
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-12.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 http://www.zanzibar-travel-guide.com/bradt_guide.asp?bradt=1796