Kaletriki (pia: Caletricus, Chaletricus, Chalactericus, Caltry, Calais; 535 hivi - 573 hivi) alikuwa askofu wa 17 wa Chartres, leo nchini Ufaransa, baada ya Leobini [1].

Mt. Kaletriki katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa kuu la Chartres.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/69010
  2. Martyrologium Romanum
  3. "Saint Calétric". Nominis - Saints, Fêtes et Prénoms (kwa Kifaransa) – kutoka nominis.cef.fr.

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.